Justin Bieber amepanga kusheherekea siku ya kuzaliwa kwake na marafiki zake wakaribu, lakini mpenzi wake wa zamani Selena Gomez hataalikwa kwenye sherehe hiyo. Justin Bieber bado amekasirishwa na mwananamuziki huyo wa 'Come & Get it' baada ya kum-dis kwa kujihusisha kimapenzi na Niall Horan, na huu ndio wakati wa Bieber kulipiza kisasi.

Justin Bieber amekuwa akivutiwa na wisichana wengi miezi ya hivi karibuni lakini imekua ngumu kuamini kama amekasirishwa na Selena kwa kitendo hicho cha kutoka na Niall Horan mmoja kati ya wanamuziki katika kundi la One Direction.
“Justin is planning a huge party for his 20th birthday and he has not invited Selena. He does not want her there after she dissed him by hooking up with Niall, which was not cool according to Justin,” mtu wa karibu na Justin akieleza.

Tag :
Gossip stories
0 Komentar untuk "Justin Bieber: Sitamualika Selena Gomez kwenye sherehe za siku yangu ya kuzaliwa (birthday party)"