Click here and get some

Robin Thicke and Paula Patton: It's OVER!

Ndoa ya mwanamuziki maarufu nchini Marekani Robin Thickle na Paula Patton imevunjika. Ni habari ambayo imeshangaza watu wengi siku ya jumatatu baada ya kutangazwa kuwa ndoa hiyo imevunjika baada ya kudumu kwa takribani miaka tisa (9).
"We will always love each other and be best friends, however, we have mutually decided to separate at this time," the singer and the actress told People. - See more at: http://www.thehollywoodgossip.com/2014/02/robin-thicke-and-paula-patton-its-over/#sthash.3qQhKu5x.dpuf

"We will always love each other and be best friend, however, we have mutually decided to separate at this time" Robin Thickle na Paula wakiwaambia mashabiki wao.

Walikutana kwa mara ya kwanza Thickle akiwa na umri wa miaka 14 na Paula 16 na walioana tangu 2005, walibahatika kupata mtoto wa kiume 2010.
 Mwaka jana wote walipata umaarufu mkubwa, Robin Thickle kwenye nyimbo zake kali kama Blurred lines.
Blurred Lines

"We will always love each other and be best friends, however, we have mutually decided to separate at this time," the singer and the actress told People. - See more at: http://www.thehollywoodgossip.com/2014/02/robin-thicke-and-paula-patton-its-over/#sthash.3qQhKu5x.dpuf
Robin Thicke
Robin Thicke
Robin Thicke
0 Komentar untuk "Robin Thicke and Paula Patton: It's OVER!"

Back To Top