Tuuchambue mshahara wa Wayne Rooney kwenye namba maalum:
£160,000 - Hii ndio fedha ambayo itabaki kwenye akaunti ya Rooney kwa wiki - baada ya kulipia kila kitu, kodi na bima.
£160,000 - Hii ndio fedha ambayo itabaki kwenye akaunti ya Rooney kwa wiki - baada ya kulipia kila kitu, kodi na bima.
£30,000 - Wastani wa mshahara wa wiki kwa mchezaji wa ligi kuu ya England, hii ni kwa mujibu wa Deloitte's sports business group.
£517
- Huu ni wastani wa mshahara wa wiki wa mtu anayefanya kazi ndani ya
UK. Waziri mkuu wa Uingereza David Cameron anapata £2,740 kila wiki.
65 - Itamchukua
wiki 65 kwa Barack Obama, raisi wa taifa kubwa duniani Marekani, kuweza
kutengeneza kiasi anacholipwa Rooney ndani ya siku saba tu - Obama
analipwa £240,000 kwa mwaka.
Tag :
sports
0 Komentar untuk "FEDHA ANAYOINGIZA WAYNE ROONEY KWA WIKI INAZIDI MSHAHARA WA MWAKA MZIMA WA BARACK OBAMA"