Baada ya kupata uhakika wa kuwa bilionea kwa kuwa kampuni ya Apple
imeshathibitisha kununua kampuni ya Beat Electronics, Dr Dre amenunua
jumba la kifahari kwa dola milioni 40.
Mjengo huo uko California na ulikuwa unamilikiwa na mwanasoka Tom Brady na mwanamitindo Bundchen Brentwood.
Mjengo huo uko California na ulikuwa unamilikiwa na mwanasoka Tom Brady na mwanamitindo Bundchen Brentwood.
Tag :
Gossip stories
0 Komentar untuk "Angalia Picha Za Mjengo Mpya Wa Dr Dre Alionunua Dola Milioni 40"