Kwa muda mrefu jamaa amekaa kwenye game na kufanya vizuri, baadae akawa kimya kwa muda na kuelekea darasani.
Ujio wake wa pili ulikuwa wa kishindo baada ya kuachia wimbo aliomshirikisha Mwasiti, Nishike Mkono. wimbo uliotayarishwa na producer Villy wa Mwanalizombe Studio.
Namzugumzia D’Knob wa Mitaani Most Wanted. D’Knob amepiga hatua nyingine kimuziki baada ya video ya wimbo huo iliyoongozwa na Nick Dizzo kuanza kuonekana Channel O.

Tag :
Gossip stories
0 Komentar untuk "Video ya D Knob inayaoneshwa Chanel O hii hapa"